Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha Wananchi CUF, Prof.Ibrahim Lipumba aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Hamida Abdallah Huaeshi katika Ofisi za NEC,Njedengwa Dodoma leo.
Social Plugin