Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : MAMIA WAJITOKEZA KWENYE TAMASHA MAALUM LA UZINDUZI WA NYIMBO ZA CCM


Mamia ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  wamejitokeza kwenye tamasha maalum la uzinduzi wa nyimbo za CCM katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo wasanii takribani 200 wanashiriki.





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com