RAIS MAGUFULI AMTEUA MAFURU KUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DODOMA
Wednesday, August 19, 2020
Rais Magufuli amemteua Joseph Constantine Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma mkoani Dodoma akichukua nafasi ya Godwin Kunambi
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin