RAIS MAGUFULI AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
الثلاثاء, أغسطس 25, 2020
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma.
Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.
==>>Tazama hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin