SHIBUDA ACHUKUA FOMU NEC KUGOMBEA URAIS TANZANIA KUPITIA ADA - TADEA


Mgombea wa Urais ,John Shibuda akikabidhiwa Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADA-TADEA katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma Agosti 11,2020.
Mgombea wa Urais ,John Shibuda wakionyesha Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADA-TADEA katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 pamoja na Mgombea Mwenza Hassan Kijogoo mara baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.
Mgombea wa Urais ,John Shibuda kupitia Chama cha ADA-TADEA katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma 
Mgombea Mwenza kupitia Chama cha ADA-TADEA Hassan Kijogoo akisaini kitabu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.
Mgombea wa Urais ,John Shibuda wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADA-TADEA katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma mara baada ya kuchukua Fomu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم