Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2020..TAZAMA MATOKEO HAPA


Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2020.


Matokeo hayo yametangazwa leo Ijumaa 21 August 2020 na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr Charles Msonde

Katika shule 10 bora kitaifa kwenye matokeo hayo, 8 ni za serikali na 2 ni za binafsi

Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA  limetangaza Matokeo ya  kidato cha Sita 2020 na Ualimu 2020.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com