SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2020..TAZAMA MATOKEO HAPA
Friday, August 21, 2020
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2020.
Matokeo hayo yametangazwa leo Ijumaa 21 August 2020 na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr Charles Msonde
Katika shule 10 bora kitaifa kwenye matokeo hayo, 8 ni za serikali na 2 ni za binafsi
Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha Sita 2020 na Ualimu 2020.
Bofya Hapo chini kutazama
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin