NEC YAMTEUA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUWA MGOMBEA WA KITI CHA RAIS WA TANZANIA KUPITIA CCM
Tuesday, August 25, 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi- NEC imemteua Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Tanzania kupitia CCM na Ndug.Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa Tanzania.
Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage amewakabidhi seti za fomu na nyaraka mbalimbali.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin