Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Wakala wa Vipim (WMA), Deogratias Maneno (kulia) akimkabidhi msaada wa kompyuta kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani Nyaibuli Bokhe Nyahonde (kushoto). Wakala wa Vipimo (WMA) wametoa jumla ya kompyuta 16 zenye thamani ya milioni 36. Picha na Cathbert Kajuna wa Michuzi TV/Kajunason.
Mwalimu wa taaluma wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, Hussein Juma akizungumza mara baada ya kupewa msaada wa kompyuta.
Mwanafunzi Najma Nizar akizungumza mara baada ya kupewa msaada wa kompyuta ambapo amewashukuru WMA kwa kuweza kuwapatia msaada huo utakaweza kuwangezea kiwango wa uelewa katika masomo ya Tehama.
Mwanafunzi Leocadia Abeid akizungumza mara baada ya kupewa msaada wa kompyuta na WMA.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani Nyaibuli Bokhe Nyahonde akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta na WMA.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA) Irene John ( wa kwanza toka kushoto) akizungumza wakati akitoa ufafanuzi juu ya kazi mbali mbali zinazofanywa na ofisi yake ya wakala wa vipimo.
Social Plugin