Mgombea Ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza wakati akizindua Kampeni zake za Uchaguzi - Picha na Mpiga Picha Wetu
Na Helena Magabe -Bunda
Mgombea Ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amezindua Kampeni zake za Uchaguzi leo Jumatatu Septemba 7,2020 katika eneo la Stendi ya Zamani Bunda Mjini huku mkutano wake ukihudhuriwa na maelfu ya wananchi waliofika kusikiliza sera zake.
Uzinduzi wa kampeni Za Ubunge Jimbo la Bunda Mjini Leo Mh ester Amos Bulaya Ufunguzi umehudhuriwa na wananchi, wanachama, viongozi wa chama jimbo,Wilaya, mkoa na Wagombea Ubunge wa Majimbo mengine ya mkoa wa Mara.
Akizungumza katika mkutano huo Mgombea huyo wa Ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya amesema hatawaangusha wana Bunda endapo watamuongeza miaka mingine mitano huku akisisitiza kuwa wana Bunda wanataka Mwakilishi wa Wananchi sio wa Serikali.
Mgombea Ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza wakati akizindua Kampeni zake za Uchaguzi

Sehemu ya wananchi wakimsikiliza Mgombea Ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Social Plugin