Mgombea ubunge wa Jimbo la Rorya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jafari Chege (katikati) anazindua kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020 muda huu leo Jumanne Septemba 8,2020 katika uwanja wa Busurwa kata ya Nyamagaro wilayani Rorya
Mgombea ubunge wa Jimbo la Rorya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jafari Chege akiwa amekaa wakati wa wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020 muda huu leo Jumanne Septemba 8,2020 katika uwanja wa Busurwa kata ya Nyamagaro wilayani Rorya
Social Plugin