Picha : MGOMBEA URAIS WA CCM DKT. MAGUFULI ALAKIWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MJINI BUKOBA
الأربعاء, سبتمبر 16, 2020
Jinsi mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alivyopokelewa kwa shangwe na nderemo alipowasili mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayarikwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo. PICHA NA IKULU
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin