Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : MAPOKEZI YA TUNDU LISSU JIJINI MWANZA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CHADEMA


Mkutano wa kampeni za CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020.
Mapokezi ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu alipowasili jijini Mwanza kuelekea katika uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa kampeni za chama hicho.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kulia) akiwasili katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 kwa upande wa chama hicho, Jumanne Septemba 01, 2020.
Wafuasi wa CHADEMA wakiwa katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com