Mgombea Urais wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Maswa mkoani Simiyu katika mikutano
ya Kampeni wakati akiwa njiani kuelekea Bariadi. PICHA NA IKULU
Mgombea Urais wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Maswa mkoani Simiyu katika mikutano
ya Kampeni wakati akiwa njiani kuelekea Bariadi.

Sehemu ya Wananchi wa Maswa
wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili
wakati akitokea mkoani Shinyanga.

Sehemu ya Wananchi wa
Maganzo wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati akitokea mkoani Shinyanga mjini.
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Mwigumbi wakati akielekea Maswa mkoani Simiyu.
Social Plugin