Taswira za wananchi wa maeneo mbalimbali wakati Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Tawala na Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea mkoani Kagera akitokea mkoa wa Geita tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo Jumanne Septemba 15, 2020. PICHA NA IKULU
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu ya wananchi maeneo mbalimbali wakati
akielekea mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayari tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo
Social Plugin