Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akizungumza na wananchi wa kata ya Masekelo wa mkutano wake wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 leo Jumatano Septemba 9,2020 katika kata ya Masekelo ambayo imekuwa ikiongozwa na diwani wa CHADEMA tangu mwaka 2010.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’ ameendelea na Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 ambapo leo amezindua Kampeni katika kata ya Masekelo ambayo imekuwa ikiongozwa na diwani wa CHADEMA tangu mwaka 2010.
Salome Makamba ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Septemba 9,2020 amefanya mkutano mkubwa wa hadhara kuomba kura katika kata ya Masekelo, ambao umehudhuriwa na mamia ya wananchi waliojitokeza kusikiliza sera za CHADEMA.
Salome Makamba amewaomba wananchi wa Shinyanga kumchagua kuwa Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini huku akiwasihi wananchi wa kata ya Masekelo kumchagua Mwandu Mhoja Mayoge kuwa diwani wao sambamba na kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwaletea maendeleo wananchi.
Septemba 8,2020 Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia CHADEMA, Salome Makamba alizindua rasmi Kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Shinyanga Mjini, uzinduzi ambao ulifanyika katika kata ya Ngokolo ambayo imekuwa ikiongozwa na diwani wa CHADEMA.

Bofya >HAPA> uone Salome Makamba akiwa Ngokolo
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akizungumza na wananchi wa kata ya Masekelo wa mkutano wake wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 leo Jumatano Septemba 9,2020 katika kata ya Masekelo ambayo imekuwa ikiongozwa na diwani wa CHADEMA tangu mwaka 2010. Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Wananchi wa kata ya Masekelo wakisikiliza sera za CHADEMA katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi ulioongozwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’.

Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akiwahutubia wananchi wa kata ya Masekelo wa mkutano wake wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 leo Jumatano Septemba 9,2020 katika kata ya Masekelo.

Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’ akimuombea kura Mgombea Udiwani kata ya Masekelo Mwandu Mhoja Mayoge.
Juma Protas, Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia CHADEMA, Salome Makamba akimnadi mgombea udiwani kata ya Masekelo Mwandu Mhoja Mayoge (kushoto).
Mgombea udiwani kata ya Masekelo Mwandu Mhoja Mayoge akiwaomba wananchi wa kata ya Masekelo wamchague kuwa diwani wa kata hiyo.
Kada wa CHADEMA Joseph Kasambala ' kutoka timu ya Ushindi ya Salome Makamba' akiwaombea kura wagombea wa CHADEMA ( Salome Makamba - Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Mwandu Mhoja Mayoge - udiwani kata ya Masekelo na Tundu Lissu - Urais Tanzania).
Kada wa CHADEMA 'kutoka timu ya Ushindi ya Salome Makamba' Joseph Kasambala akiwaombea kura wagombea wa CHADEMA ( Salome Makamba - Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Mwandu Mhoja Mayoge - udiwani kata ya Masekelo na Tundu Lissu - Urais Tanzania).
Wananchi wa kata ya Masekelo wakisikiliza sera za CHADEMA katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi ulioongozwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’.
Wananchi wa kata ya Masekelo wakisikiliza sera za CHADEMA katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi ulioongozwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’.
Aliyekuwa Diwani wa Viti Maalumu kata ya Masekelo, Zainab Heri (CHADEMA) akiwaombea kura wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu 2020.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Jimbo la Shinyanga Mjini, Samson Ng’wagi akiwanadi wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu 2020.
Wananchi wa kata ya Masekelo wakisikiliza sera za CHADEMA katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi ulioongozwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’.
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Shinyanga Mjini, Hamis Ngunila akiwaombea kura wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu 2020.
Wananchi wa kata ya Masekelo wakisikiliza sera za CHADEMA katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi ulioongozwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’.
Wananchi wa kata ya Masekelo wakisikiliza sera za CHADEMA katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi ulioongozwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’.
Wananchi wa kata ya Masekelo wakisikiliza sera za CHADEMA katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi ulioongozwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’.
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba ‘ Ng’wana O Shimba’ akipokea michango ya wanachama wa CHADEMA na wananchi wa Masekelo kuchangia Kampeni za uchaguzi CHADEMA.
Awali Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga kupitia CHADEMA, Salome Makamba akiwasili katika kata ya Masekelo leo Jumatano Septemba 9,2020 kwa ajili ya kuzungumza na wananchi kwenye mkutano wake wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020.
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Social Plugin