Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kuamua kumwita msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, meza kuu kisha kuvua kofia yake na kumvisha mwanamuziki huyo.
Magufuli amefanya hayo leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, wakati Diamond alipokuwa akitumbuiza kwenye kampeni za Magufuli katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Social Plugin