Jeshi La Polisi Lawakamata Waliochoma Ofisi Za Chadema Arusha
Thursday, September 03, 2020
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha nchini Tanzania, limewakamata watu watatu wakituhumiwa kuchoma moto ofisi za chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema, Kanda ya Kaskazini.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin