Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KENYA YAONDOA SHARTI LA WATANZANIA KUKAA KARANTINI KWA SIKU 14

Serikali ya Kenya imetoa orodha ya Nchi 147 ambazo Raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye orodha hiyo, Tanzania imetajwa miongoni mwa Nchi hizo ambazo zinafika 147




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com