MAALIM SEIF AREJESHA FOMU ZA URAIS OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR (ZEC)
الأربعاء, سبتمبر 09, 2020
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amefika katika ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na kurejesha fomu yake leo ambapo ni mwisho wa zoezi hilo na wagombea walitakiwa kuzirudisha kabla ya saa 10 jioni.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin