Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MGOMBEA URAIS CCM ZANZIBAR DR HUSSEIN MWINYI KUZINDUA KAMPENI KESHO JUMAMOSI SEPTEMBA 12 - KIBANDAMAITI


Waeleze wana kuwa KibandaMaiti ZANZIBAR kuna jambo. Mjulishe mwenzako kuwa wanaCCM wana JAMBO lao na Rais wao ajaye.... Mtu wa watu, Mnyenyekevu, Kijana Mchapakazi na anayekubalika Dkt Hussein Mwinyi. 

Ni kesho JUMAMOSI tarehe 12 Septemba 202O.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com