Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAGUFULI AUNGURUMA UWANJA WA CCM KIRUMBA ULIOFURIKA WANANCHI



Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
leo Jumatatu Septemba 7, 2020

Wagombea nafasi za Udiwani katika mkoa wa Mwanza wakisalimia kwa push-up na nyimbo za hamasa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7,2020
Sehemu ya umati wa maelfu kwa maelfu ya wananchi uliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7, 2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com