Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : RAIS MAGUFULI AKISALIMIANA NA MAMA MARIA NYERERE KWENYE MKUTANO WA KAMPENI CCM MARA


Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com