Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles akitoa taarifa kuhusu rufaa za madiwani kwenye Mkutano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Watoa Huduma ya Habari Mitandaoni,uliofanyika leo katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Watoa Huduma ya Habari Mitandaoni wakichukua matukio.
**
Social Plugin