Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ORODHA YA WASANII WATAKAOKUWEPO JUKWAANI LEO UFUNGUZI WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DKT HUSSEIN ALLY MWINYI

Orodha ya Wasanii watakaokuwepo na kupanda Jukwaani Leo Jumamosi kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Mgombea Urais Zanzibar Dkt Hussein Ally Mwinyi.


Tukio litakuwa LIVE  kupitia vituo vya runinga vya ZBC, TBC, Clouds, ITV na Channel 10, pia matangazo yatarushwa kupitia Kurasa rasmi za Chama mitandaoni. @ccmtanzania @dr.hmwinyi











Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com