Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Morogoro limefanikiwa kuudhibiti moto wa mafuta kutokana na gari lenye namba za usajili T862 BZS na tela namba T814 DBZ kushika moto katika eneo la Kiegea, Wilayani Kilosa.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Zimamoto (SACF), Goodluck Zelote amesema hakukuwa na madhara yoyote kwa binadamu na chanzo cha moto huo hakikujulikana mara moja ila inasadikika ni hitilafu katika mfumo wa umeme wa gari hilo.

#HONGERA:— Zimamoto na Uokoaji (@tanzimamoto) September 20, 2020
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Morogoro leo Jumapili tarehe 20 Septemba, 2020 limefanikiwa kuudhibiti moto wa mafuta kutokana na gari lenye namba za usajili T862 BZS na Tela namba T814 DBZ kushika moto katika eneo la Kiegea, wilayani Kilosa.@RsaTanzania pic.twitter.com/zGiUoQOyDs
Social Plugin