Picha: MGOMBEA URAIS WA CCM DR MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NYASHIMO BUSEGA
Sunday, September 06, 2020
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamikoma Busega mkoani Simiyu katika mikutano yake ya Kampeni za Urais wakati akielekea Mkoani Mwanza.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin