Picha : RAIS MAGUFULI AMPOKEA MGENI RAIS WA BURUNDI EVARISTE NDAYISHIMIYE MKOANI KIGOMA
Saturday, September 19, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakati wa heshma za nyimbo za Mataifa mawili zikipigwa katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 19 Septemba, 2020
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin