Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SHILOLE,MADEE,MPOTO WATINGISHA JIJI LA TANGA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UMMY MWALIMU

MSANII Banana Zoro akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tanga ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
Msanii wa Bongofleva Madee akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tanga ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
MSANII wa Mziki wa Bongofleva nchini Shilole akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tanga ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
Msanii Shilole akionyesha umahiri wake  wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tanga ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
Msanii wa Mziki wa Bongo Fleva Maua Sama akitumbuiza wakati wa Uzinduzi huo

Msanii Mrisho Mpoto akionyesha umahiri wake wa kucheza wakati wa uzinduzi huo
Msanii wa Mziki wa Bongofleva Malkia Karen akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo

Msanii wa Mziki wa Bongo Fleva Kassim Mganga akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katikati akifurahi burudani kutoka kwa wasanii wa bongofleva wakati wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Henry Sheifu
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katikati akifurahi burudani kutoka kwa wasanii wa bongofleva wakati wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Henry Shekifu na Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia wakati wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu na  kulia 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com