KATIBU MKUU WA CCM DKT. BASHIRU AKUTANA NA WAZEE ZANZIBAR...ASEMA 'CCM INATHAMINI WAZEE!!'
Monday, October 05, 2020
Habari na Picha. Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kwenye Mkutano wake na Wazee wa Zanzibar Uliofanyika leo Jumatatu Oktoba 5,2020 Kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Dkt Bashiru amepata nafasi ya Kuwaambia Wazee wa Zanzibar Mwenendo wa Kampeni za CCM. #T2020JPM #Mwinyi2020.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin