Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video : MASANJA MKANDAMIZAJI AKIJIONEA KAZI KUBWA YA JPM HEAVYWEIGHT WA MAENDELEO TZ FLY OVER ZA UBUNGO DAR




Tazama Video Masanja Mkandamizaji alipotembelea Fly Over za Ubungo- Dar es salaam na kujionea maendeleo ya Awamu Ya Tano chini Ya Mwenyekiti Wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli Na Kukiri Kwamba JPM ni HeavyWeight Wa Maendeleo.#T2020JPM

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

Tazama picha

Masanja Mkandamizaji akishangilia kwenye Barabara za Fly Over Ubungo Jijini Dar es saalam





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com