Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAMA SAMIA SULUHU AFANYA MKUTANO WA KAMPENI RUKWA... HIZI HAPA BAADHI YA KAULI ZAKE AKIMNADI JPM

Kutoka Mkoani Rukwa. Aliyoyaongea Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan Kwenye Mkutano wake wa Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Uliofanyika Kwenye Mji wa Namanyele Uliopo Wilayani Nkasi Mkoani Katavi. 
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com