Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MGOMBEA URAIS DK. MAGUFULI AENDELEA KUWASHA MITAMBO KUOMBA KURA...HIZI HAPA KAULI ZAKE LEO AKIWA BAGAMOYO

Shujaa Dkt John Pombe Magufuli is Back na Leo Jumatatu Oktoba 19 ameendelea kuwasha Mitambo ya Kunadi Sera na Ilani bora sana ya Maendeleo ya CCM na haya ndiyo aliyoyaongea Mgombea huyo wa Urais wa CCM Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Viwanja Vya Mwanakalenga, Bagamoyo Mkoani Pwani.

#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com