RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASHUSHA NONDO NZITO AKIMNADI JPM MBAGALA DAR... HIZI HAPA KAULI ZAKE
Saturday, October 17, 2020
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa Mgeni rasmi Kwenye Kampeni za CCM Kutoka Jimbo la Mbagala Jijini Dar es Salaam. Kwenye Mkutano huo Mkubwa Dkt Kikwete amezungumza mambo mengi yaliyofanyika na yaliyotekelezwa kama yalivyoahidiwa Kwenye Ilani ya CCM na Kueleza mambo makubwa yanayoenda Kufanyika Miaka mitano ijayo. Haya ndiyo aliyoyazungumza.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin