Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
Kituo Kinachofuata ni Dar es Salaam. Ni Ijumaa Oktoba 09, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataendelea na Mikutano yake ya Kampeni za Kunadi Ilani ya CCM, Sera na Kuomba Kura Mkoani Dar es Salaam. Oktoba 9, 2020 atakuwa katika Uwanja wa Mkapa Temeke halafu Oktoba 12 atakuwa uwanja wa Kinyerezi Ilala na Oktoba 13,2020 atakuwa Ubungo uwanja wa EPZ kisha Oktoba 14,2020 ataunguruma uwanja wa Tanganyika Parkers Kawe Kinondoni .Dar es Salaam Baba Mwenye nyumba amefika. Unamkosaje Sasa?. #T2020JPM
Social Plugin