Picha : MGOMBEA URAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA UBUNGO MVUA IKINYESHA....HIZI HAPA KAULI ZAKE AKIMWAGA SERA
Tuesday, October 13, 2020
Habari picha. Nukuu za Aliyoyaongea Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Leo Jumanne Oktoba 13 Kutoka Kwenye Viwanja Vya Barafu, Mburahati Jijini Dar es Salaam. Safari ya mbeba maono kukutana na Wananchi Kunadi Sera na Ilani bora ya Maendeleo ya CCM inaendelea.#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin