MGOMBEA URAIS TANZANIA DR MAGUFULI AFANYA MKUTANO MKUBWA MJINI TUNDUMA - SONGWE...HAYA NDIYO YALIYOJIRI, ALIYOYAZUNGUMZA
Thursday, October 01, 2020
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt John Pombe Magufuli akiunguruma mkoani Songwe Kwenye Mpaka wa Tanzania na Zambia Mjini Tunduma kwenye Viwanja Vya Mwalimu Nyerere. Haya ndiyo yaliyojiri na aliyoyazungumza kwenye mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi. #T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin