JPM KESHO KUUNGURUMA BABATI - MANYARA AKIENDELEA KUOMBA KURA, KUNADI ILANI NA SERA ZA CCM
Saturday, October 24, 2020
Tukiwa na siku 3 kuelekea Jambo letu, kazi ya Kuendelea na kukutana na Wananchi wa Kila sehemu kueleza Sera na Ilani bora ya CCM inaendelea na Kesho Oktoba 25, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataunguruma Mkoani Manyara. Watanzania tuna Jambo Letu haswa.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin