Tukiwa na siku 3 kuelekea Jambo letu, kazi ya Kuendelea na kukutana na Wananchi wa Kila sehemu kueleza Sera na Ilani bora ya CCM inaendelea na Kesho Oktoba 25, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataunguruma Mkoani Manyara. Watanzania tuna Jambo Letu haswa.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Social Plugin