Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MGOMBEA URAIS DK. MAGUFULI AKIWASHA MOSHI MJINI... HIZI HAPA KAULI ZAKE AKIOMBA KURA

TUKUTANE OKTOBA 28: Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea na Mikutano yake ya Kampeni ya Kunadi Sera na Ilani ya CCM Kisha kuomba Kura kwa Wananchi na Leo Jumatano Oktoba 21, 2020 ameendelea kufanya Mikutano Mkoani Kilimanjaro na Haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano Mkubwa Uliofanyika Viwanja Vya Chuo cha Ushirika, Moshi Mjini. Twende na Mafiga matatu ya CCM bila ya Kuchanganya mambo.

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com