Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JPM AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA WA KAMPENI MWANGA KILIMANJARO...HIZI HAPA KAULI ZAKE AKIOMBA KURA

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea na Mikutano yake ya Kampeni ya Kunadi Sera na Ilani ya CCM Kisha kuomba Kura kwa Wananchi na asubuhi hii ya Leo Jumatano Oktoba 21, 2020 amefanya Mkutano Mkubwa Uliofanyika Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro na Haya ndiyo aliyoyazungumza. Twende na Mafiga matatu ya CCM bila ya Kuchanganya mambo. 

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com