CRDB SHINYANGA CYCLE RALLY.....Ni Mashindano ya Mbio za BAISKEL KM 150 (Shy- Isaka) na KM80 (Shy-Tinde) yatakayo endana na Uchangiaji Damu salama viwanja wa Kambarage Siku ya Jumatano Oktoba 14,2020 na hii ni kuendeleza wiki ya pili ya huduma kwa mteja na Kumbukizi ya Mwl JULIUS KAMBARAGE NYERERE...
Pia uwanjani kutakuwa na mbio fupi za wazee na wanawake, kutakuwa na burudani mbali mbali...Muda kuanzia saa12 asubuhi hadi saa 8 Mchana.... #ULIPOTUPO#POPOTE INATIKI_14 October save the date....💥💥tuna jambo letu
Social Plugin