Happines Juma Kweji mkazi wa Ndala manispaa ya Shinyanga anaomba msaada wa matibabu ya mtoto wake, wa miezi 10 ambaye anasumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa moyo, mdomo wa ndani, pamoja na jicho.
Kwa yeyote atakayeguswa awasiliane na Happines Juma Kweji
Kwa Simu namba; 0769475521.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin