JOSHUA NASSARI AMNADI JPM KWENYE MKUTANO MKUBWA WA KAMPENI VIWANJA VYA USA RIVER ARUSHA
Thursday, October 22, 2020
.Yaliyojiri Kwenye Viwanja Vya USA River, Arumeru Mkoani Arusha ambako Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli amefanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni muda mfupi uliopita. Arumeru wanasema walikosea sana na Sasa wamejifunza na hawataki tena kufanya Makosa. Watatoa kura zote Kwa CCM kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani siku ya Oktoba 28,2020.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin