Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

POLEPOLE KESHO KUFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

 

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole Kesho Jumamosi Oktoba 17, 2020 ataongea na Waandishi wa Habari Kutoka Ofisi ndogo ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam Kuanzia Saa 8 Mchana. Hii ni Ngwe ya Sita, ya lala salama na ya Mwisho ya Kampeni za CCM Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28 hivyo Hutakiwi Kukosa Kusikia mwenendo wa Mitambo ya Ushindi ya CCM.

#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com