Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JPM KESHO KUWASHA MOTO TANGA

Tanga Kunani Kule? Ni Kesho Jumanne Oktoba 20, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataibukia Tanga, Mapenzi na Mahaba yalikozaliwa, Vijana wanasema Upepo unakovuma. Tanga tukahamishe Mapenzi yetu yote tuliyojaaliwa kwa Shujaa na Mbeba maono wa Kweli Dkt John Pombe Magufuli. Wote Tunaenda Tanga, asiwepo wa Kukosa hii.

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com