Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KATIBU MKUU WA CCM DR. BASHIRU ALLY KESHO KUKUTANA NA WAZEE WA CCM ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Kesho Jumatatu Oktoba 05, 2020 atazungumza na Wazee wa Zanzibar Kutoka Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Kuanzia Saa 8 Mchana ili Kutoa mwenendo wa Kampeni za CCM. Si ya Kukosa wala ya Kutaka Usimuliwe. #T2020JPM #Mwinyi2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com