Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Angalia Picha : MKUTANO MKUBWA WA JPM AKIMWAGA SERA ZA CCM KAWE DAR

Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers Vilivyopo Kawe kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Viwanja vimejaa na Vinaendelea Kupendezeshwa na Sera nzuri za CCM zinazonogeshwa pia na Kazi za Sanaa za Wasanii wetu Wakiongozwa na Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine wengi.

#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com