Dr Tulia Ackson Atangazwa Mshindi Kiti cha Ubunge Mbeya Mjini
Thursday, October 29, 2020
Mgombea ubunge kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson, ameibuka mshindi katika Jimbo la Mbeya Mjini kwa kupata kura 75,225 huku mpinzani wake Joseph Mbilinyi wa Chadema akipata kura 37,591.
Hivyo ametangazwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin