GODBLESS LEMA APOTEZA JIMBO LA ARUSHA MJINI....MSHINDI NI MRISHO GAMBO
Friday, October 30, 2020
Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 82,480 akifuatiwa na Godbless Lema CHADEMA aliyepata kura 46,489.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin